WASANII ACHENI UOGA SAMBAZENI KAZI ZENU- MTITU

William Mtitu- cut 530

Mtitu mkurugenzi wa kampuni ya 5 Effect

MTAYARISHAJI na muongozaji wa filamu Bongo William J. Mtitu ‘Mtitu’ amewashauri wasanii na watayarishaji wenzake wa filamu kuacha kuwategemea wasambazaji wanaowanyonya na kuwasumbua badala yake waache woga na kuingia kusambaza kazi zao kama alivyofanya yeye.
(more…)

filed under: Habari

MKE WA GEORGE TYSON AINGIA KUIGIZA NA MWANAYE

Beatrice Shayo

Beatrice Shayo mwigizaji wa filamu Swahiliwood

BEATRICE Goodluck mke wa marehemu George Tyson ameamua kurudia kazi yake ya awali ya uigizaji sambamba mwanaye Eugene George mtoto wa Tyson, Beatrice anasema ameamua kurejea katika uigizaji kazi yake ya awali ambayo aliiacha baada ya kuolewa na marehemu, kuwa meneja katika kazi za mumewe, msanii huyo anasimamiwa na kampuni ya Timamu Casting Agency.
(more…)

filed under: Habari

SWEBE SI WAONEKANAO NDIO WANAJUA!

Adam Melele

Swebe Santana mwigizaji wa filamu Bongo

MWIGIZAJI Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo Adam Melele ‘Swebe Santana’ amesema baadhi ya wawekezaji katika tasnia ya filamu Bongo wamekuwa wakiingia mkenge kuwekeza fedha zao kwa wasanii wasio na uwezo kwa sababu tu, ya muonekano wao, jambo linaloshusha sinema Bongo.
(more…)

filed under: Habari

FILAMU YA KIMBULU NI MOTO – HEMED Phd

Hemed Suleiman

Hemed mwigizaji wa filamu Bongo

MWIGIZAJI wa filamu Bongo Hemed Suleiman ‘Phd’ anatamba kuwa yeye ni kiraka katika masuala ya uigizaji kwani anamudu sehemu yoyote anayoshirikishwa na kuwa ni kivutio kikubwa katika sinema za kibongo, anasema iwe Komedi au filamu anafanya vizuri.
(more…)

filed under: Habari

SITUMII NDUMBA JAMANI- WEMA

wemA   SEPETU[;

Wema Sepetu Mwigizaji wa filamu

WEMA I. Sepetu mwigizaji wa kike wa filamu Bongo anayeng’ara amaefunguka kwa kusema kuwa hatumia ndumba kuwa maarufu, wala hana muda wa kutafuta umaarufu kwa njia giza bali anaishi kama msanii nyota na kuwapa watu kitu wanachotaka kwa wakati.
(more…)

filed under: Habari

WASANII WA TIMAMU CASTING AGENCY WAPO TAYARI KWA KAZI

Timoth Conrad

Mkurugenzi wa Timamu Tico akiwa na waandishi wa habari hawapo pichani

KAMPUNI ya Timamu African Media kupitia mradi wake wa kukuza vipaji na kutoa ajira wa Timamu Casting Agency (TCA) umetangaza wasanii mia moja waliofanikiwa kuibuka vinara wa uigizaji katika usahili uliofanyika hivi karibuni, akiongea na FC mkurugenzi wa Timamu Timoth Conrad amesema wasanii walioshinda wapo tayari kwa kazi.
(more…)

filed under: Habari

TMT NI VIPAJI HALISI- MONALISA

Yvonne Cherryl

monalisa mwigizaji wa filamu Swahilifilamu

Yvonne Cherryl ‘Monalisa’ mwigizaji wa kike asiyechuja katika tasnia ya filamu Bongo amefunguka kwa kufurahia vipaji vipya vinavyotengenezwa na Tanzania Movie Talent (TMT), Monalisa ambaye ni moja kati ya majaji wa shindano hilo la kusaka vipaji anasema anaona vipaji vipya.
(more…)

filed under: Habari

UKINIANDIKA VIBAYA NAKUWASHIA MOTO- ANITA

Salwa Badu

Anita mwigizaji wa filamu Swahilifilamu

MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Salwa Badu ‘Anita’ ametamba kwa kusema kuwa hawezi kuandikwa vibaya na magazeti ya Pendwa kwa sababu wakifanya hivyo, ahakikisha kuwa anashikisha adabu huyo mwandishi na kulishukia gazeti husika.
(more…)

filed under: Habari

FILAMU TUNATOZWAFEDHA NYINGI- MWAKIFWAMBA

simon mwakifwamba

Mwakifwamba Rais wa TAFF Bongo

RAIS wa shirikisho la filamu (TAFF) Swahilifilamu, Simon Mwakifwamba amelalamikia utozwaji wa kodi nyingi katika tasnia filamu wakati hakuna ulinzi wakutosha, akifafania amedai kuwa walipoingia katika urasimishaji na mamlaka(TRA), waliamini kuwa ndio mwisho uharamia.
(more…)

filed under: Habari

BIG UP BONGO 5 KUMUENZI KANUMBA

Steven-Kanumba

Hayati Steven Kanumba mwigizaji wa filamu Swahilifilamu

SIKU zote za uhai wako ni vema ukaweka jambo ambalo linaweza kukufanya watu wakukumbuke kwa kile ulichofanya katika juhudi zako ukiwa ulimwenguni kuna wakati tunaambiwa tufanye kazi kwa nguvu ili kuweka akiba ya baadae, hilo linaleta maana kwa tuzo aliyoshinda Hayati Steven C Kanumba kupitia filamu ya Ndoa Yangu.
(more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook